KLABU ya Chelsea imekamilisha uhamisho wa Loic Remy kwa dau la Pauni Milioni 8 kutokaq QPR.
Remy
aliyekuwa anatakiwa pia na Arsenal, anakwedna kuziba nafasi ya Fernando
Torres aliyehamia AC Milan kwa mkopo wa mural mrefu.
Uhamisho
huu ni faraja kwa Remy ambaye sasa anakwenda kujiunga na klabu
inayocheza Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kocha Mreno, Jose Mourinho alihitaji
mshambuliaji baada ya kumtoa kwa mkopo Torres.
Mambo safi: Chelsea imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Loic Remy kutoka QPR
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni