Frank Lampard ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa baada ya kucheza mechi 106 na kufunga magoli 26 kwa timu yake ya taifa ya England
Lampard ambaye yupo Manchester City kwa mkopo akitokea klabu ya New York City amesema anajisikia fahari kuichezea timu ya taifa kwa kipindi cha miaka 15
"Nimaamuzi magumu kuyafanya kwangu kwa sababu najisikia kufahari kila siku kuiwakilisha nji yangu kwenye mashindano mbalimbali na nafurahi kila ninapovaa jezi ya nchi yangu kuhusu maisha ya klabu yangu naelekea sehemu tofauti na jambo muhimu kwangu ni kujali familia yangu kwanza"
Lampard aliendelea kwa kusema"Kwasasa ni naangali mbele na nilijiamini kipindi wakati niko chini ya Roy Hoghson, wachezaji vijana wanakuja na ni nafasi yao kufanya vizuri kwa ajili ya maendeleo ya baadae ya mfumo wa vijana na taifa kwa ujumla
"na nitaendelea kuisapoti na kuishabikia timu yangu ya taifa na na kuwatakia mafanikio mema katika mashindano yanayofuata pale Ufaransa mwaka 2006

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni