
Na Nasri Kitwana. Mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema yeye hawezi kumzuia mchezaji yoyote wa timu yake kuondoka ndani ya timu hiyo endapo atapata sehemu nyingine ya kwenda. Simeone aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na gazeti la L'Equipe kuhusu hatma ya Antoine Griezman ambaye ameku…